Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

Ingekuwa ni mwili ningesema Dar ni makalio, Dodoma ni kiuno na chato ni kitovu!
Nazani mmenilewa ndugu zanguuu!

Vyote hivi vinatumika kila kitu kwa mda wake!
Huwezi kuhamisha makilio yawe kitovuni utakuwa kichaa!!

Kuna wakati wa kuwa kitovuni na wakati wa kuwa makalioni au kiunoni
 
Ziara za viongozi wa dunia ya tatu huwa hawasemi whats on the agenda....

zaidi ya kutudanganya na clitches za kudumisha uhusiano wa kihistoria na kidugu

Ziara za marais wa Ulaya nusu ya ndege imejaa waandishi, wanataka kujua kinaga ubaga umekuja au unakwenda kutufungisha mkataba gani huko?

Lazima uwaambie what the eff is on the agenda
 
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu Chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.
Saaa kama ujenzi unaendelea hujakakamilika alihakua Dodoma kwa nini?
 
Chato tena....jamaa anataka akitoka awe na list ya marais waliotembelea Chato
 
Hata hamuwezi kufikiri. Dodoma ikulu bado ujenzi unaendelea huenda amepisha ujenzi halafu Chato sio mahali pa kawaida kwa sasa ni nyumbani kwa rais wa jamhuri na ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kama mtu roho inauma gombea urais ukipata utaona kama mtu atakukataza kwenda kwenu hasa kama mama yako ni mgonjwa.

..Je, ikitokea tunajenga ofisi mpya ya wizara ya fedha ina maana waziri wa fedha Dr.Mpango atahamia kijijini kwao Buhigwe, Kigoma?

..kama ujenzi unaendelea ikulu ya chamwino basi Raisi alitakiwa atafutiwe ofisi ya muda hapohapo Dodoma, au ahamishie shughuli zake Ikulu ya Dar-Es-Salaam.

..pia mama mzazi wa Raisi kuwa mgonjwa siyo kigezo cha bwana mkubwa kuhamishia shughuli za serikali kijijini kwao. kwanza Raisi sio muuguzi au daktari, na hata kwa mila zetu Waafrika mtoto wa kiume hawezi kumuuguza mama yake.
 
Tahadhari: Ethiopia ni target kubwa na muhimu kwa China na USA kwa sababu ndiyo makao makuu ya AU. Interests zao zote kwa Afrika zinapitishia Addis Ababa. I hope Magufuli ni mmoja wa marais intelligent sana na hataingia kwenye mtego wowote ule.
 
Kwa hili kiukweli linashangaza,,mwaka jana mwishoni nilienda uhamiaji mkoa mmoja hivi kushughulikia passport,,niliumia sana kuwakuta vijana karibia 30 ethiopian na wadogo kbs wengine wamerundikwa pale..na mara nyingi wanakamatwa...Yaani bongo tunalalamika maisha magumu na changamoto za sasa but real life kea wenzetu ni tatizo sana

..na Tz muelekeo wetu ni huohuo ukizingatia kwamba tatizo la ajira haliwasumbui wala kuwashughulisha viongozi wetu.

..ethiopia wana mamia ya ndege, wamejenga ma-fly over, wamejenga reli /sgr ya umeme, wana mradi mkubwa mara mbili ya stieglers, lakini wananchi wake kila siku wanakimbia maisha magumu na ukosefu wa ajira.

..Tz tunatakiwa tushughulikie tatizo la ajira, na tujenge middle class ya wafanyakazi wa viwandani, pamoja na wakulima na wafugaji.
 
Ingekuwa ni mwili ningesema Dar ni makalio, Dodoma ni kiuno na chato ni kitovu!
Nazani mmenilewa ndugu zanguuu!

Vyote hivi vinatumika kila kitu kwa mda wake!
Huwezi kuhamisha makilio yawe kitovuni utakuwa kichaa!!

Kuna wakati wa kuwa kitovuni na wakati wa kuwa makalioni au kiunoni
Sure umequalify kua zaidi ya kitovu ni tovu
 
Kikwete atakuwa anajiona alipoteza sana. Ungekuta kahamishia Dar yote Msoga sasa hv Msoga ndiyo ingekuwa Masaki
 
Back
Top Bottom