Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo.
"...lazima tuwe wakweli, Ulaya inaenda kushuhudia kipindi kigumu sana kwa familia zetu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Tunawaomba wanachama wetu wa EU tusigawanyike kwa sababu hiyo bali ni lazima tuonyeshe umoja wetu kwa kuungana hata wakati huu tunapotarajia ugumu wa maisha hapa Ulaya."
DW.