Rais wa FIFA ampa Messi mbinu za kuwa mchezaji bora wa muda wote

Golden generation ya Argentina imeisha au meshambaratika hivi. Timu ile ya Argentina iliyocheza world-cup finals Brail 2014 na Copa-America USA 2015 ndio kizazi kilichotakiwa kumsaidia Messi aandike historia yake kwenye National major trophies. Ila kilishindwa na kikifa moyo (rejea uamuzi wa Messi kustaafu national team).
Uwezekano wa Argentina ya sasa kushinda world cup 2018 au 2022 ni mdogo sana. Si kwasababu sio bora bali timu kama German, Brazil, Spain, Paraguay, France, Portugal na nyingine kadhaa zipo katika mizania kubwa kwasasa na promising young generation kubwa kuliko Argentina. Kusubiri muujiza wa siku ya Mwisho wa fundi Lionel Messi ili kufuzu kwenda Russia ni dalili tosha wana mlima mkubwa kwenye finali zijazo.

Russia bila Messi isingenoga kabisa ila tu tusitarajie miujiza ya Argentina hii kunyakua hili kombe chini ya kaptain Messi
 
Usiitaje Portugal ina nini? Spain ina nini? Germany bayern ikipwaya hakuna Germany labda kwa Brazil na France
 
Aka
unamzungumzia Ronaldo ambae hajawahi kushinda uefa siyo?
Akili yako ndogo,UEFA ni kombe dogo sana kw kombe la dunia n.a. la mabara(confederation cup)

Kwa ujumla de lima ana 2 world cups, ana 4 confederation cups, yaaan, makombe 6 yenye hadhi zaid ya UEFA :je hata huyo messi UEFA anazo hata 4?? Hahahaha
 
kwahiyo kwa akili yako kubwa ukaona umejibu swali langu kama nilivyouliza?
Jenga tabia ya kuelewa siyo kukurupuka,nimeuliza "Unamzungumzia Ronaldo huyu ambae hajawahi kushinda uefa?" wewe kwa akili yako kubwa unaanza kuorodhesha makombe aliyowahi kuchukuwa ukidhani ndo umejibu swali and by the way Messi bado ana nafasi ya kutwaa World Cup kwasababu atashiriki 2018 huwezi kum write off kwa sasa kuhusu tuzo za kimataifa hadi pale atakapostaafu soka la kimataifa japo hiyo haikuwa point yangu na sikutaka kufika huko nimeona nikuongezee tu kama muelewa utaelewa
 
Kombe la dunia ni takribani mechi saba tu mpaka timu kuingia finals na kushinda.. kwangu mimi ni ujinga tena mkubwa sana eti kisa mchezaji akishindwa kushinda kombe hili basi hawezi kuwa bora.. ni upuuzi narudia tena ni ujinga.. yaan mtu tushindwe kumpima kwa mechi maybe mia tano alizocheza uwezo wake tuje tumpime kwa mechi saba. Hapna kabisa..
 
Aka

Akili yako ndogo,UEFA ni kombe dogo sana kw kombe la dunia n.a. la mabara(confederation cup)

Kwa ujumla de lima ana 2 world cups, ana 4 confederation cups, yaaan, makombe 6 yenye hadhi zaid ya UEFA :je hata huyo messi UEFA anazo hata 4?? Hahahaha
Messi ana uefa nne kijana..fanya research yako vizuri..
 
Huyo mbilikimo hana lolote la maana la kujivunia national team. Bingwa wa kushindwa tu daima, na huko Russia atakuwa msindikizaji kama kawaida pamoja na kuzungukwa na wachezaji wazuri.
 
Usiitaje Portugal ina nini? Spain ina nini? Germany bayern ikipwaya hakuna Germany labda kwa Brazil na France
Vikosi vya vijana vya German ni vizuri na vipana. Angalia vikombe walivyoshinda hivi karibuni. Hata timu ya German liliyoshinda kombe la mabara haikua ya seniors; ilisheheni vijana wadogo ambao walionyesha uwezo mkubwa sana tu. 2018 German nawapa nafasi kubwa ya kutwaa tena WC.
Portugal kwasasa tunaweza kuwadharau ila timu ile ina mchanganyiko mzuri sana wa vijana wapya. Miaka miwili hadi minne watakua na kikosi kizuri. Vivo hivyo kwa Spain.
Nadhani sasa umeelewa hoja yangu
 
Ni kweli siku mesi akitwaa kombe la dunia basi nitaanza kuhesabu hivi
Pele
Messi
Maradona

Lakini sasa bado nahesabu
Pele
Maradona
Messi
Ronaldo
 
Back
Top Bottom