Baba Mkali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 810
- 813
Golden generation ya Argentina imeisha au meshambaratika hivi. Timu ile ya Argentina iliyocheza world-cup finals Brail 2014 na Copa-America USA 2015 ndio kizazi kilichotakiwa kumsaidia Messi aandike historia yake kwenye National major trophies. Ila kilishindwa na kikifa moyo (rejea uamuzi wa Messi kustaafu national team).
Uwezekano wa Argentina ya sasa kushinda world cup 2018 au 2022 ni mdogo sana. Si kwasababu sio bora bali timu kama German, Brazil, Spain, Paraguay, France, Portugal na nyingine kadhaa zipo katika mizania kubwa kwasasa na promising young generation kubwa kuliko Argentina. Kusubiri muujiza wa siku ya Mwisho wa fundi Lionel Messi ili kufuzu kwenda Russia ni dalili tosha wana mlima mkubwa kwenye finali zijazo.
Russia bila Messi isingenoga kabisa ila tu tusitarajie miujiza ya Argentina hii kunyakua hili kombe chini ya kaptain Messi