Mataifa karibu yote ya Afrika Magharibi yameshatawaliwa kijeshi katika kipindi fulani ukianzia: Benin, Burkina Faso, Gambia, Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Ivory Coast, Liberia, Mali, Mauritania, Niger, Nigeria, Sierra Leone na Togo kasoro Senegal pekee ndio haijawahi kutawaliwa na jeshi.
Kwa hiyo hii inatuonyesha jinsi watawala wa huko wanavyopaswa kuwa makini na namna wanavyoongoza watu wao lazima waheshimu utawala wa kidemokrasia kwa kufahamu kwamba wakileta ujinga majeshi ya huko hayakufundishwa siasa kama majeshi ya huku kwetu kulinda watawala wao wanachojua ni kulinda nchi na sio kulinda watawala. Afrika Magharibi huchezi na dhamana uliopewa eti jeshi likakuacha hawana huo unafiki.