Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400

Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400

Wanamuonea tu, waliogongwa wamelalamika, au kuna aliye lalamika au kukanusha? Hakuna mtoto mdogo yaani chini ya mika 18 aliye gongwa, sasa kosa lake nini?

Video ni kama picha tu tunavyotunza albam za picha ni ukumbusho tu, siyo kwamba alikuwa anaziuza?

Tatizo lake nini? Ngono nani hafanyi?
 
Back
Top Bottom