Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais wa Guinea alikaribishwa New York kwenye Mkutano wa UN, kwa Maandamo ya Diaspora wa Guinea, mpaka aliogopa kushuka kwenye gari ikabidi Dereva akimbize gari kukwepa aibu ila jamaa walikimbiza gari mpaka sio poa hii ndo dawa ya Madikteta wote.
Halafu Polisi wa Marekani hawajapiga mtu mabomu wa risasi za moto.
Halafu Polisi wa Marekani hawajapiga mtu mabomu wa risasi za moto.