Rais wa Guinea Mamadou Doumbouya ametimuliwa na waandamanaji New York

Rais wa Guinea Mamadou Doumbouya ametimuliwa na waandamanaji New York

Hayo ndio madikteta wa kiafrika wakiona wanatamani Umoja wa Mataifa uhamie China au Russia.

Sidhani kama Samia kwenye huu muda aliobakiza ataweza kwenda kuhudhuria mkutano mkuu wowote wa Umoja wa Mataifa.
 
Huko lakini gun si nje nje?

Ina maana waguinea wote hapo hakuna hata mmoja aliyekidhi vigezo vya kumiliki pistol akamhamishia sayari nyengine huyo mwizi?
 
Back
Top Bottom