Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hatari sema viongozi wakipata mwaliko wanakimbilia kwenda hukoKumbe nchi za afrika kwa kiwango kikubwa idara za upelelezi ni dhaifu ,walishindwa kubaini kama rais atapata hyo aibu ,wazuie asiende
nyakati imembeba, on paper anaonekana kaskip Unga kwa sababu ya msiba + majonzi , tuangalie next UngaNdiyo utaelewa kwa Nini Be Zena hataki kwenda Marekani.
wewe nani kakwambia kwamba hawakujua jambo hilo, hiyo ni global stage uwepo wa maeneo hayo kama taifa lako sio kubwa ni muhimu sanaKumbe nchi za afrika kwa kiwango kikubwa idara za upelelezi ni dhaifu ,walishindwa kubaini kama rais atapata hyo aibu ,wazuie asiende
Afrika ilirogwa,Hilo jamaa baada ya kuipindua boss wake Yahya Jame nalo limegeuka dikteta!Rais wa Guinea alikaribishwa New York kwenye Mkutano wa UN, kwa Maandamo ya Diaspora wa Guinea, mpaka aliogopa kushuka kwenye gari ikabidi Dereva akimbize gari kukwepa aibu ila jamaa walikimbiza gari mpaka sio poa hii ndo dawa ya Madikteta wote.
Halafu Polisi wa Marekani hawajapiga mtu mabomu wa risasi za moto.
View attachment 3678073