Lipi hilo mkuu? La laisi wa holoya?Mkuu mlambaji asali fanyia kazi hilo utanishukuru
Unapimwa kwa niniNakubaliana na yeye, ni fact kuwa Simba sio klabu kubwa hapa afrika, ukubwa wa Simba haupimwi kwa kuifunga Al Ahly wala kuingia makundi kila mwaka, never
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.Ndugu mwaandishi wa Aston villa na Man City Nani anamzid mwenzake mafanikio hivi karibuni au Nani ni mkubwa??
Ogopa sana watu wenye wivu.Ogopa sana timu inayojisifia mitandaoni inafanya vizuri na mafanikio kwao ni kufuzu group stage na kuishia robo/nusu fainali.. narudia tena OGOPA
Kazi kwenu OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINERaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
View attachment 2553579
Ukubwa ni kuchukua kombe kipindi cha wakoloni.Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.
AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.
Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
Kwa hyo ukiweka rank za FIFA hapa vilabu Bora Duniani Aston villa atakuwa juu ya Man City??Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.
AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.
Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
Achukue Muda gani wewe...wkt mzee mwenyewe anaelekea kustaafuSababu ukubwa ameupima kwa kuchukua kombe asipingwe.
Ila the fact kuwa anazisikia habari za simba na kuzizungumzia ni suala la muda tu maana mashindano bado yapo kila mwaka.
Aston villa wana kombe.. sasa rais anasema timu kubwa lazima ibebe kombeNdugu mwaandishi wa Aston villa na Man City Nani anamzid mwenzake mafanikio hivi karibuni au Nani ni mkubwa??
Ukweli ni kwamba sisi thimba komwe la onyango ndio kombe letu toshaKila zama na mambo yake na hizi ni zama za Simba.
Hao sijui Ismailia, Asante Kotoko, Enyimba, Stella Abidjan, Canon Younde, na Hearts of Oak zimefika wapi katika mashindano ya Africa miaka ya hivi karibuni? Kwanza baadhi ya hizo timu sidhani kama bado zipo.
Hii mada imeandikwa na mtu wa Yanga, ipuuzeni.
nakaziA.Huyu Sasa ndio rais wa klabu ya Mpira. Achana na yule rais tapeli ambaye timu yake ilipigwa 3-0 kwa mkapa na waarabu
Kama maneno yaliyosemwa ni ya kweli hakuna haja ya source..Tupe source ya hii taarifa.
Nyinyi bumbuwazi hamkosi maneno ya kujifariji.
Rank za FIFA zinazohusu nini?Kwa hyo ukiweka rank za FIFA hapa vilabu Bora Duniani Aston villa atakuwa juu ya Man City??
Ni kifo tu ndo kitamtenganisha na ukubwa wa simba wakati utakapofika.Achukue Muda gani wewe...wkt mzee mwenyewe anaelekea kustaafu