Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Ndugu mwaandishi wa Aston villa na Man City Nani anamzid mwenzake mafanikio hivi karibuni au Nani ni mkubwa??
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.

AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.

Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
View attachment 2553579
Kazi kwenu OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINE
 
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.

AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.

Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
Ukubwa ni kuchukua kombe kipindi cha wakoloni.
 
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.

AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.

Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
Kwa hyo ukiweka rank za FIFA hapa vilabu Bora Duniani Aston villa atakuwa juu ya Man City??
 
Sababu ukubwa ameupima kwa kuchukua kombe asipingwe.

Ila the fact kuwa anazisikia habari za simba na kuzizungumzia ni suala la muda tu maana mashindano bado yapo kila mwaka.
Achukue Muda gani wewe...wkt mzee mwenyewe anaelekea kustaafu
 
Kila zama na mambo yake na hizi ni zama za Simba.

Hao sijui Ismailia, Asante Kotoko, Enyimba, Stella Abidjan, Canon Younde, na Hearts of Oak zimefika wapi katika mashindano ya Africa miaka ya hivi karibuni? Kwanza baadhi ya hizo timu sidhani kama bado zipo.

Hii mada imeandikwa na mtu wa Yanga, ipuuzeni.
 
Ukweli ni kwamba sisi thimba komwe la onyango ndio kombe letu tosha
 
Simba yenyewe sasa
Screenshot_20230302-214449.jpg
 
Back
Top Bottom