Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Vipi na leo kasemaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na pa bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas, Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio.

Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

Mbona kaongea ukweli mtupuu...

Kaushindi haka ka leo hakaifanyi Simba kuwa LISIIIMBAA...
 
Kumbe shida ilianzia hapa🤣🤣🤣
Sasa nimeelewa.
 
Mama kaweka kindege....hataki kutoa huo mpunga....msigwa atalijibu hili kesho
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na pa bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas, Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio.

Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

Ukweli mtupu mtupu kbsa ,smba inajitekenyesha na Kisha inajichekesha Tena

Ni uzushi kuita simba timu kubwa mbele ya mimba hyo tajwa hapo juu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom