Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlivyotoa lesson kwa RAJA.What that damn Fool ( Horoya's President ) is doing Football Pundits We call it Mind Game.
I'm confident that my Lovely Club Simba is going to teach him / them a lesson at Benjamin Mkapa Stadium on Saturday.
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.
AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.
Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!
Ni kweli juzi mpira wao na Hearts niliona ulikuwa wa ovyo sikuaminiAmekosea: Asante Kotoko ni ile ya zamani siyo hii ya leo. Ukiipambanisha Asante Kotoko ya sasa na Mbeya City, waghana hao watakula kichapo cha mbwa koko.
Gwiji la habari za michezo hapa jf, aiseee huu ujumbe nimeshamtafsria kifaransa na kaupata.What that damn Fool ( Horoya's President ) is doing Football Pundits We call it Mind Game.
I'm confident that my Lovely Club Simba is going to teach him / them a lesson at Benjamin Mkapa Stadium on Saturday.
Simba ina uwanja wa mazoezi wa kisasa, vipi kuhusu Utopwa?Hizo timu ulizozitaja zimewai kutwaa ubingwa wa africa.
Simba hajawai kutwaa ubingwa wa africa.
Hizo timu zinamiliki viwanja vyake. Havitumii uwanja wa taifa wao kuchezea home games zao.
Simba hana uwanja anategemea kwa mkapa.
Timu kubwa tunaipimaje ? Kama mataji haitwai... na hata facilities za kueleweka haina.
Hata Vipers waliiita Simba Zuwena lakini kiko wapi.Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Umeandika kwa mhemko sana hasa para ya pili. Kwani Bwana Horoya huwezi kuandika vizuri kwa kutulia?Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Simba ina uwanja wa mazoezi wa kisasa, vipi kuhusu Utopwa?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Na huu ujinga sijui wanautoa wapi wa kujiita wakubwa,, ukiwauliza mafanikio waliyo nayo wanakwambia wamefika robo mara mbili sijui 3,,, aibu!Nakubaliana na yeye, ni fact kuwa Simba sio klabu kubwa hapa afrika, ukubwa wa Simba haupimwi kwa kuifunga Al Ahly wala kuingia makundi kila mwaka, never
ahahhahahahha huyu jamaa kayaweza makoloRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Sawa tutasubiri baada ya dakk 90 arudie maneno yk hayo.Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.