Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Simba tushaset standard zetu Africa,na hili ndio linalowaumiza kichwa! Suala la wao kufungwa pale lupaso halikwepeki...tushakua wazembe sana huko nyuma..but this time around anaenda kupigwa mtu mkono..!
 
What that damn Fool ( Horoya's President ) is doing Football Pundits We call it Mind Game.

I'm confident that my Lovely Club Simba is going to teach him / them a lesson at Benjamin Mkapa Stadium on Saturday.
Kama mlivyotoa lesson kwa RAJA.
 
Wamekwisha,Viperz walituita Zuwena kilichowatokea wanakijua,wakati mwingine ni bora kukaa kimiya kuliko kuitia hasira timu pinzani ya kukukamia
 
Aston Villa ni club kubwa kuliko Man City. Man City wanafanya vizuri kwa miaka ya karibuni kuliko Aston Villa.

AC Milan ni club kubwa kuliko PSG.

Asante Kotoko, Enyimba na TP Mazembe ni club kubwa Africa kuliko Simba!

Hizo timu ulizozitaja zimewai kutwaa ubingwa wa africa.

Simba hajawai kutwaa ubingwa wa africa.

Hizo timu zinamiliki viwanja vyake. Havitumii uwanja wa taifa wao kuchezea home games zao.

Simba hana uwanja anategemea kwa mkapa.

Timu kubwa tunaipimaje ? Kama mataji haitwai... na hata facilities za kueleweka haina.
 
Amekosea: Asante Kotoko ni ile ya zamani siyo hii ya leo. Ukiipambanisha Asante Kotoko ya sasa na Mbeya City, waghana hao watakula kichapo cha mbwa koko.
Ni kweli juzi mpira wao na Hearts niliona ulikuwa wa ovyo sikuamini
 
Asubiri jumamosi kwa mkapa atajua ukubwa na upana wa Simba SC na haijalishi kama maneno wamemuwekea utopolo ama ni yake.
 
Hizo timu ulizozitaja zimewai kutwaa ubingwa wa africa.

Simba hajawai kutwaa ubingwa wa africa.

Hizo timu zinamiliki viwanja vyake. Havitumii uwanja wa taifa wao kuchezea home games zao.

Simba hana uwanja anategemea kwa mkapa.

Timu kubwa tunaipimaje ? Kama mataji haitwai... na hata facilities za kueleweka haina.
Simba ina uwanja wa mazoezi wa kisasa, vipi kuhusu Utopwa?
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

Hata Vipers waliiita Simba Zuwena lakini kiko wapi.

Asubiri kesho ndio ajue ukubwa wa Simba..
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

Umeandika kwa mhemko sana hasa para ya pili. Kwani Bwana Horoya huwezi kuandika vizuri kwa kutulia?
 
Simba ina uwanja wa mazoezi wa kisasa, vipi kuhusu Utopwa?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app

Uwanja wa mazoezi hata timu za mitaani zinazo.

Enyimba stadium unafananisha na bunju mo arena,

Hata uwanja wa mazoezi wenyewe sio mali ya simba. Ni mali binafsi ya mo dewji.

Simba inapaswa kumiliki uwanja wake na kutwaa taji la klabu bingwa africa.. ili iwe timu kubwa.

Tazama enyimba stadium
 
Attachments

  • Enyimba-FC-stadium-e1538199746662.jpg
    Enyimba-FC-stadium-e1538199746662.jpg
    18.9 KB · Views: 1
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

ahahhahahahha huyu jamaa kayaweza makolo
 
Sawa tutasubiri baada ya dakk 90 arudie maneno yk hayo.
 
Back
Top Bottom