Kiukweli bado naendelea kumsikiliza atasemajeJamaa ana hoja na asikilizwe
🤣😂😂🤣🤣😂😂🤣😂Mdomo Wake Umemponza RaisSalamu zake Raisi wa Horoya 😋😋😋😋😋
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haamini km 35m watu wamechukuaa.Mama Analia million 35 imeenda na maji[emoji38][emoji38][emoji38]
Nawaombea awa dog wachakazwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haamini km 35m watu wamechukuaa.
Tumeushona[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Mdomo Wake Umemponza Rais
Ogopa sana tena sana maana tushafika robo.. na tunajisifiaOgopa sana timu inayojisifia mitandaoni inafanya vizuri na mafanikio kwao ni kufuzu group stage na kuishia robo/nusu fainali.. narudia tena OGOPA
Mbona kaongea ukweli mtupuu...Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na pa bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas, Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio.
Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Kumbe shida ilianzia hapa🤣🤣🤣Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na pa bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas, Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio.
Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Ukweli mtupu mtupu kbsa ,smba inajitekenyesha na Kisha inajichekesha TenaRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.