Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Horoya fan njooo huku. Simba siyo Utopolo ujue. Rais wa Horoya yuko ICU Aghakan kazilai jana kuiona SIMBA ikiilalua kwa aibu timu yake
 
Mbona kaongea ukweli mtupuu...

Kaushindi haka ka leo hakaifanyi Simba kuwa LISIIIMBAA...
Kuna watu hapa hapa nchini mara ya mwisho kufika hatua hii ni mwaka 1998 . lkn wanajiita litimu kubwa Africa.
 
Back
Top Bottom