Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

Rais wa Indonesia anatarajiwa kuitembelea Israel Kesho!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti.

Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. 🇮🇱🇮🇩

IMG_4481.jpeg
 
huyu jamaa si mnafiki.kwenye kikao cha UN he outrightly told the world off kuwa; hakuna Aman Gaza bila hakikisho la usalama wa israel.
msimamo wake upo sawia na wayule mpigania uhuru wa Palestine( salim).
 
Iran lazima itengeneze jeshi la kiislamu huko ili kumsumbua na yeye mpaka akubali msimamo wa islamist wa kuiondoa Israel kwenye uso wa dunia.

Wasije tu wakamteka.
 
Back
Top Bottom