Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Oct 13, 2025 #1 BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. ๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ฉ
BREAKING NEWS: Rais wa Indonesia anatarajia kuitembelea Israel kesho, vyombo vya habari vya Israel vinaripoti. Natumaini hili litatokea. Wakati wa kufanya amani. ๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ฉ
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Oct 13, 2025 #2 Indonesia ina waislam wengi duniani ila hawana chuki na Israel kama wale wengine wanaotumia uislam kama siasa
Indonesia ina waislam wengi duniani ila hawana chuki na Israel kama wale wengine wanaotumia uislam kama siasa
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,179 Reaction score 9,750 Oct 13, 2025 #3 huyu jamaa si mnafiki.kwenye kikao cha UN he outrightly told the world off kuwa; hakuna Aman Gaza bila hakikisho la usalama wa israel. msimamo wake upo sawia na wayule mpigania uhuru wa Palestine( salim).
huyu jamaa si mnafiki.kwenye kikao cha UN he outrightly told the world off kuwa; hakuna Aman Gaza bila hakikisho la usalama wa israel. msimamo wake upo sawia na wayule mpigania uhuru wa Palestine( salim).
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Oct 13, 2025 #4 Aman kwao
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Oct 13, 2025 #5 My favorite country in the world.. Indonesia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 14, 2025 #6 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Oct 17, 2025 #7 Iran lazima itengeneze jeshi la kiislamu huko ili kumsumbua na yeye mpaka akubali msimamo wa islamist wa kuiondoa Israel kwenye uso wa dunia. Wasije tu wakamteka.
Iran lazima itengeneze jeshi la kiislamu huko ili kumsumbua na yeye mpaka akubali msimamo wa islamist wa kuiondoa Israel kwenye uso wa dunia. Wasije tu wakamteka.