Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya wabunge na kupanda kwa gharama za maisha. Hatua hiyo imekuja baada ya kuongezeka kwa malalamiko ya wananchi dhidi ya utawala wake na bunge linaloonekana kutojali changamoto za kiuchumi zinazowakabili raia
Katika mabadiliko hayo, mawaziri watano wamepoteza nafasi zao akiwemo Waziri wa Fedha Sri Mulyani Indrawati, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, pamoja na Waziri wa Siasa na Usalama Budi Gunawan. Nafasi ya Indrawati imechukuliwa na mchumi Purbaya Yudhi Sadewa, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Shirika la Bima ya Amana
Maandamano hayo yaliyoenea nchini humo yalisababishwa na taarifa kwamba wabunge wote 580 wanapokea posho ya makazi ya rupiah milioni 50 kwa mwezi (sawa na dola 3,075), kando na mishahara yao. Posho hiyo, iliyoanzishwa mwaka 2024, ni karibu mara kumi ya mshahara wa chini kabisa jijini Jakarta
Soma zaidi: Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji
The Cabinet shake-up followed rising public dissatisfaction with President Prabowo Subianto’s administration and parliament’s perceived insensitivity over economic hardships
Five ministers lost their jobs, including Finance Minister Sri Mulyani Indrawati, a technocrat who had served as the executive director of the International Monetary Fund and managing director of the World Bank, and Budi Gunawan, the coordinating minister for politics and security
Subianto chose economist Purbaya Yudhi Sadewa, chairman of the Deposit Insurance Corporation, to replace Indrawati, one of Indonesia’s longest-serving finance ministers
Violent protests gripped the country, home to more than 280 million people, after reports that all 580 members of the House of Representatives received a monthly housing allowance of 50 million rupiah ($3,075), in addition to their salaries. The allowance introduced last year was nearly 10 times the minimum wage in Jakarta
Source: AP
Katika mabadiliko hayo, mawaziri watano wamepoteza nafasi zao akiwemo Waziri wa Fedha Sri Mulyani Indrawati, aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, pamoja na Waziri wa Siasa na Usalama Budi Gunawan. Nafasi ya Indrawati imechukuliwa na mchumi Purbaya Yudhi Sadewa, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Shirika la Bima ya Amana
Maandamano hayo yaliyoenea nchini humo yalisababishwa na taarifa kwamba wabunge wote 580 wanapokea posho ya makazi ya rupiah milioni 50 kwa mwezi (sawa na dola 3,075), kando na mishahara yao. Posho hiyo, iliyoanzishwa mwaka 2024, ni karibu mara kumi ya mshahara wa chini kabisa jijini Jakarta
Soma zaidi: Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji
=======
Indonesia’s president replaced key economic and security ministers in a Cabinet shakeup Monday after deadly protests over lawmakers’ perks and the cost of living erupted across the countryThe Cabinet shake-up followed rising public dissatisfaction with President Prabowo Subianto’s administration and parliament’s perceived insensitivity over economic hardships