AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Utafiti huo umeutowa wapi, weka taarifa kama ilivyo chuki zako baki nazo mwenyewe.Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti huo umeutowa wapi, weka taarifa kama ilivyo chuki zako baki nazo mwenyewe.Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
Nyoosha maelezo,Ingawa Falme nyingi ni symbolically na ni kama una mshale mmoja wa kutumia ukiutumie ni vigumu kumuua adui na uki backfire kumbuka wewe ndio utaondoka...
Kwamba sijakujibu swali lako kwamba ni lini UK Monarchy ilikwenda against Parliament au Swali lilikuwa nini ?Nyoosha maelezo,
Falme zote za Ulaya na Japan ni symbolically/ ceremonial lakini karibia falme zote za nje ya Ulaya ni "Absolute monarchies"
Situlikubaliana kuwa kila maamuzi ya Iran yanatolewa na Hayatullah kumbe na rais ana mamlaka ya kuamua kitu fulani kifanyike na kingine kisifanyike?
Kwahiyo kuanzia sasa tusisikie tena tumba za Iran ni nchi ya kidkiteta.
Mkuu
Mimi naomba kuelemishwa. Kwani Ayatollah ana mamlaka gani na raisi ana mamlaka gani ndani ya nchi?
Na kwanini awepo ayatollah na Raisi?
Hata Hayatollah hana mamlaka ya kumuengua rais akisha chaguliwa na wananchi.Unajua maana ya ceremonial? Wanabariki as part of tamaduni, but waziri mkuu anae chaguliwa na wananchi kwa kura hawana mandate ya kumu engua kama wangekuwa na mamlaka hayo
Hao wamefundishwa kuishi katika uongo! Ukweli ni sumu kwao hasa ukiwa unawagusa watu wao.Punguza kuropoka. UK Ina bunge na Waziri Mkuu. Mfalme ni ceremonial leader.
Unatatzo mahali kjanaKwahiyo kufunika kichwa ni sawa na kukaa uchi, huyo ayatola anapogegedq hao madem anawagonga wakiwa na nguo? aache ujinga basi
Mwaka 2009 Ayatollah alimpa amri Rais kumfukuza makamu wa Rais aliyetoa kauli kwamba Iran ni rafiki wa mataifa yote.Hata Hayatollah hana mamlaka ya kumuengua rais akisha chaguliwa na wananchi.
Hata hapo kenya rais hana uwezo wa kumfukuza kazi makamu wake wa rais lakini hilo halimaanishi kuwa rais ndo nwenye namlaka makubwa.
Waziri mkuu awezi kutambuliwa mpaka afhitishwe na mfalme.Punguza kuropoka. UK Ina bunge na Waziri Mkuu. Mfalme ni ceremonial leader.
Hata Uingereza kiongozi akienda kinyume na masilahi ya kifalme ataondolewa bila kujali ni kwa njia gani.Mwaka 2009 Ayatollah alimpa amri Rais kumfukuza makamu wa Rais aliyetoa kauli kwamba Iran ni rafiki wa mataifa yote.
Kwa hiyo mfalme wa Uingereza hana maamuzi yeyote ndani ya nchi hiyo?Hao wamefundishwa kuishi katika uongo! Ukweli ni sumu kwao hasa ukiwa unawagusa watu wao.
Ufalme wa Uingereza ni ceremonial; it is not absolute monarchy but constitutional one.Kwa hiyo mfalme wa Uingereza hana maamuzi yeyote ndani ya nchi hiyo?