Rais wa Iran agoma Kusaini sheria kali ya mavazi

Huyu Ayatolah sijui Wanawake wa Iran walimkosea nini?!🤔
 
Hata kwa familia ya kifalme ya Uingereza ni hivyo hivyo lakini hujawahi kuwaita madikteta.
Muongo kabisa wewe jihadist, Uingereza haina mifumo ya kipumbavu hiyo.

Uingereza ndio watu walioamsha watu usingizini duniani halafu tena wawe na mambo ya kijinga namna hiyo, hayo waachie tu yale mataifa yanayotawaliwa kiislam, ya kikomunisti na ya kiafrika lakini sio uzunguni.
 
Nje ya mada kivip?
Ww si umesema Ayatollah yupo madarakani kwa sababu ya ukatili.
Na mm ndo nikakuambia kuwa hata huo ufalme unao utetea hapa misingi yake imejengwa katika ukatili wa na uporaji wa kutisha.
Wewe huna hoja na bila shaka utakuwa ni jihadist tu wala huwezi kujificha.
 
Muongo kabisa wewe jihadist, Uingereza haina mifumo ya kipumbavu hiyo.

Uingereza ndio watu walioamsha watu usingizini duniani halafu tena wawe na mambo ya kijinga namna hiyo, hayo waachie tu yale mataifa yanayotawaliwa kiislam, ya kikomunisti na ya kiafrika lakini sio uzunguni.
Akikujibu neno "shoga" or it's derivatives halitakosekana kwenye majibu yake. Wait and see.
 
Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na kuonesha nywele.

Pia sheria hiyo imepiga marufuku mavazi ya suruali au nguo za kubana kwa wanawake. Wanawake wametakiwa kuvaa nguo ambazo hazioneshi maungo yao.

Adhabu ya atakaye kwenda kinyume na sheria hiyo ni:

1. Faini
2. Kufungwa jela
3. Kutoruhusiwa kutumia mtandao wa internet

Iwapo Rais wa Iran atakataa Kusaini sheria hiyo atakuwa ameingia kwenye mgogoro na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei. Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
Hizi sijui mnazitoa wapi ila habari ya leo Iran imefanikiwa kurusha Satellite na kuitundika kwenye orbit, kwa resource zake mwenyewe.
 
Iran ni katika mataifa 10 yenye mafuta na gesi nyingi duniani.
 
Hijab vazi analovaa Allah.. ila kwa wanawake kuvaa Hijab sio amri ya Allah ni Omary alisema akamshauri Mudy guy baada ya Omary kumchungulia mke wa Mudy akifanya call of nature kichakani usiku..

Akaja mbio Bwana Mtume wanawake wavae ushungi maana nimemchwee mkeo na nikamuita "NAKUONA HAFSA UNAKUNYA"

Eti kesho yake Mudy akasema Jibril kaja na Aya kutika Allah wanawake wote wavae Hijab.. hahahaha deen ya kufabricate things..

Ndio maana wanaojua story wanapuuza kuvaa Hijab
 
Kuna vitu vingine ni vya kipuuzi sana, imagine bunge linakaa na posho wanakula ili kujadiri namna gani wanawake wavae, pumbafu. Unaacha kujikita kwa warfare za wananchi wako, mnajadiri nani avaaeje? Nonsense
 
Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na kuonesha nywele.

Pia sheria hiyo imepiga marufuku mavazi ya suruali au nguo za kubana kwa wanawake. Wanawake wametakiwa kuvaa nguo ambazo hazioneshi maungo yao.

Adhabu ya atakaye kwenda kinyume na sheria hiyo ni:

1. Faini
2. Kufungwa jela
3. Kutoruhusiwa kutumia mtandao wa internet

Iwapo Rais wa Iran atakataa Kusaini sheria hiyo atakuwa ameingia kwenye mgogoro na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei. Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.
Hizo 70%ulizitoa wap ww kafir
 
Hijab vazi analovaa Allah.. ila kwa wanawake kuvaa Hijab sio amri ya Allah ni Omary alisema akamshauri Mudy guy baada ya Omary kumchungulia mke wa Mudy akifanya call of nature kichakani usiku..

Akaja mbio Bwana Mtume wanawake wavae ushungi maana nimemchwee mkeo na nikamuita "NAKUONA HAFSA UNAKUNYA"

Eti kesho yake Mudy akasema Jibril kaja na Aya kutika Allah wanawake wote wavae Hijab.. hahahaha deen ya kufabricate things..

Ndio maana wanaojua story wanapuuza kuvaa Hijab
Ww ni kafiri khabbiithi lamal
 
Hapo ndo ambapo Iran huzingua.Masuala ya mavazi wapi na wapi tena??Waache kuingilia maisha private ya watu..
 
mwenzake assad kanyolewaa....ayatolah anafataa
 
Hijab vazi analovaa Allah.. ila kwa wanawake kuvaa Hijab sio amri ya Allah ni Omary alisema akamshauri Mudy guy baada ya Omary kumchungulia mke wa Mudy akifanya call of nature kichakani usiku..

Akaja mbio Bwana Mtume wanawake wavae ushungi maana nimemchwee mkeo na nikamuita "NAKUONA HAFSA UNAKUNYA"

Eti kesho yake Mudy akasema Jibril kaja na Aya kutika Allah wanawake wote wavae Hijab.. hahahaha deen ya kufabricate things..

Ndio maana wanaojua story wanapuuza kuvaa Hijab
Tangu mlivyo olewa na yule mvaa chupi wa msalabani mmekua wapumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom