Rais wa Iran aishia kulalamika kwenye Twitter kwamba Israel wameshavuka mstari mwekundu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nilisema hapa Iran hawezi kurusha hata jiwe Israel wairan wa Morocco hawakuelewa. Hapo Iran akifanya lolote atapigwa kipigo kizito mno na Marekani , narudia kizito mno.
Sasa arushe jiwe la nini?,HAMAS imetengenezwa na Israel yenyewe ili iwasidie dhidi ya Abbas-HAMAS wanapo wageuka mnataka support ya Dunia nzima
Nyie watu ni wapimbavu kweli
 
Nilisema hapa Iran hawezi kurusha hata jiwe Israel wairan wa Morocco hawakuelewa. Hapo Iran akifanya lolote atapigwa kipigo kizito mno na Marekani , narudia kizito mno.
Pumba nyingine bhana Sasa Irani aishambulie taifa feki la wayahudi wa kizungu kwa kosa gany! Yeye anakemea tu kuwasaidia wa palestina lakini kujiingiza huko kijeshi atakua anavunja Sheria za kimataifa ndioo maana anaishia kutumia proxywars Kama Hezbollah.
 
Afadhali mkuu, una uelewa mkubwa.
Wachangiaji wengi jf kwenye mambo ya kimataifa ni weupe sana.
Wanadhani migogoro ya nchi ni kama ugomvi wa sokoni kila mtu anarusha chake.
 
Pumba nyingine bhana Sasa Irani aishambulie taifa feki la wayahudi wa kizungu kwa kosa gany! Yeye anakemea tu kuwasaidia wa palestina lakini kujiingiza huko kijeshi atakua anavunja Sheria za kimataifa ndioo maana anaishia kutumia proxywars Kama Hezbollah.
Leo mnasema hivyo..? Kudadeki wavaa kobazi bwana. Mna ujuha mwingi. Alipotoa vitisho mlijiapiza hapa kuwa israel atapigwa na iran sijui iran ni superpower imekuaje tena..? Acha mpelekewe moto vzr na akili ziwakae vzr magaidi nyie
 
Nilijua tu mkibanwa na kukosa hoja mnakimbilia kwenye dini na usichokijua mie sio muislamu hio picha imekuchanganya na kuonyesha jinsi gany ulivyolipumbavu likubwa.
 
Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote....
Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii....
Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini.

View: https://twitter.com/raisi_com/status/1718461912168489156?ref_src=twsrc%5egoogle%7ctwcamp%5eserp%7ctwgr%5etweet%7ctwtr%5etrue

Leo Iran anatii maagizo ya USA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Israel ni level nyingine hadi UN-Secretary anaiomba msamaha🤭🤭🤭🤭
 
Back
Top Bottom