Nini anacho Israel ambacho Iran hana??Achukue hatua kama anajipenda na kanchi kake...wavaa kobanzi mwenzen hamas ananyolewa tulieni.
Sasa arushe jiwe la nini?,HAMAS imetengenezwa na Israel yenyewe ili iwasidie dhidi ya Abbas-HAMAS wanapo wageuka mnataka support ya Dunia nzimaNilisema hapa Iran hawezi kurusha hata jiwe Israel wairan wa Morocco hawakuelewa. Hapo Iran akifanya lolote atapigwa kipigo kizito mno na Marekani , narudia kizito mno.
Israel ana nuclear..Iran Hana...Nini anacho Israel ambacho Iran hana??
Pia vita sio kama karata kila mtu acheze.
Pumba nyingine bhana Sasa Irani aishambulie taifa feki la wayahudi wa kizungu kwa kosa gany! Yeye anakemea tu kuwasaidia wa palestina lakini kujiingiza huko kijeshi atakua anavunja Sheria za kimataifa ndioo maana anaishia kutumia proxywars Kama Hezbollah.Nilisema hapa Iran hawezi kurusha hata jiwe Israel wairan wa Morocco hawakuelewa. Hapo Iran akifanya lolote atapigwa kipigo kizito mno na Marekani , narudia kizito mno.
Israel analindwa na USA na ndicho kinampa kiburi..Israel ana nuclear..Iran Hana...
Afadhali mkuu, una uelewa mkubwa.Pumba nyingine bhana Sasa Irani aishambulie taifa feki la wayahudi wa kizungu kwa kosa gany! Yeye anakemea tu kuwasaidia wa palestina lakini kujiingiza huko kijeshi atakua anavunja Sheria za kimataifa ndioo maana anaishia kutumia proxywars Kama Hezbollah.
Unaota ety eeh, unafikiria kwanini aligoma kukaguliwa kinu chake cha nyuklia cha fordow kilicho chini ya ardhi.Israel ana nuclear..Iran Hana...
Leo mnasema hivyo..? Kudadeki wavaa kobazi bwana. Mna ujuha mwingi. Alipotoa vitisho mlijiapiza hapa kuwa israel atapigwa na iran sijui iran ni superpower imekuaje tena..? Acha mpelekewe moto vzr na akili ziwakae vzr magaidi nyiePumba nyingine bhana Sasa Irani aishambulie taifa feki la wayahudi wa kizungu kwa kosa gany! Yeye anakemea tu kuwasaidia wa palestina lakini kujiingiza huko kijeshi atakua anavunja Sheria za kimataifa ndioo maana anaishia kutumia proxywars Kama Hezbollah.
Nilijua tu mkibanwa na kukosa hoja mnakimbilia kwenye dini na usichokijua mie sio muislamu hio picha imekuchanganya na kuonyesha jinsi gany ulivyolipumbavu likubwa.Leo mnasema hivyo..? Kudadeki wavaa kobazi bwana. Mna ujuha mwingi. Alipotoa vitisho mlijiapiza hapa kuwa israel atapigwa na iran sijui iran ni superpower imekuaje tena..? Acha mpelekewe moto vzr na akili ziwakae vzr magaidi nyie
Tulia wewe gaidi ayatollaNilijua tu mkibanwa na kukosa hoja mnakimbilia kwenye dini na usichokijua mie sio muislamu hio picha imekuchanganya na kuonyesha jinsi gany ulivyolipumbavu likubwa.
Sawa agent wa LGBTQ 🌈Tulia wewe gaidi ayatolla
Leo Iran anatii maagizo ya USA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Israel wanaendelea kuvuka mistari yote inayochorwa na Waarabu na Iran, mistari ya blu, nyekundu inafyatua yote....
Rais wa Iran kaambulia kulalamika kwenye mitandao ya kijamii....
Katukanwa sana huko kwenye comments maana Iran ndio ilikua tegemeo la pekee la watu wa hiyo dini.
View: https://twitter.com/raisi_com/status/1718461912168489156?ref_src=twsrc%5egoogle%7ctwcamp%5eserp%7ctwgr%5etweet%7ctwtr%5etrue
Ayatollah watakuwa wamerahisishia kazi ni kwenda kubikiri tuu.Akijaribu tu maayatollah ndo kwishney maaana watafurushwa