Rais wa Iran aishia kulalamika kwenye Twitter kwamba Israel wameshavuka mstari mwekundu

Sasa kinachomshinda kuifuta Israel ni nini?
Aifute bila ugomvi!!! Ukiwa na nguvu unapiga watu bila sababu?.
Israel ki ulinzi USA wanahusika.
USA ajiondoe kumsaidia Israel uone.
 
Aifute bila ugomvi!!! Ukiwa na nguvu unapiga watu bila sababu?.
Israel ki ulinzi USA wanahusika.
USA ajiondoe kumsaidia Israel uone.
Kuna wakati jihadists mnasema Marekani hana lolote na yeye anamtegemea Israel, sasa tushike lipi..!!
 
Omba kuonana na ubalozi wao ukamwambie,au nawe nenda ukajiunge nao Gaza,vinginevyo na wewe ni kama huyo muiran,maana na wewe umeishia kulaumu wenzio humu mtandaoni. Tofauti ni kuwa Yeye yupo twita wewe upo Jf.
 
Kuna wakati jihadists mnasema Marekani hana lolote na yeye anamtegemea Israel, sasa tushike lipi..!!
Kuna tofauti gani, hezbula, Hamas, na vikundi vingine vya kigaidi vinavyomtegemea Iran!
 
Nilijua tu mkibanwa na kukosa hoja mnakimbilia kwenye dini na usichokijua mie sio muislamu hio picha imekuchanganya na kuonyesha jinsi gany ulivyolipumbavu likubwa.
Sawa moto si unauona unavyopelekewa au
 
Aifute bila ugomvi!!! Ukiwa na nguvu unapiga watu bila sababu?.
Israel ki ulinzi USA wanahusika.
USA ajiondoe kumsaidia Israel uone.
Ugomvi hupo kila siku anamtwanga Hamas amebakia kubweka nitaifuta Israel kwenye ramani. Waifute sasa wanangoja nini na migovi yao?
 
Ugomvi hupo kila siku anamtwanga Hamas amebakia kubweka nitaifuta Israel kwenye ramani. Waifute sasa wanangoja nini na migovi yao?
Hamas ni nchi? Hamas wako wangapi? Hamas ni wanamgambo wachache tu, Israel je?
Yaana una akili unadhani hamas ni jeshi la nchi fulani linapambana na Israel!!!!
 
Walishavuka mistari yote na kukatiza, kote kote, vipi bado mnachora mistari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…