Rais wa Iran aweka wazi kuonana na Mojtaba Khamenei 'Yuko vizuri'

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema alikutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, takribani mwezi mmoja uliopita na walizungumza kwa saa kadhaa. Pezeshkian alisema Khamenei alikuwa katika hali nzuri kabisa kiafya na alikuwa akiendelea kutoa maelekezo kwa uongozi wa Iran. Alisema hayo katika mahojiano na Fox News yaliyorushwa Septemba 24, 2026

Khamenei hajaonekana hadharani tangu kuanza kwa vita, wakati alipomrithi baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran baada ya Ali Khamenei kuuawa.

Soma

Huyo alishajifia kitambo hao wanabaki kufanya maigizo tu wakifikiria watu ni wajinga na muda utakuja kuwaumbua vibaya hadi watakosa pa kuficha vichwa.

It's the time that perfects everything so time will tell in not so distant future.
 
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema alikutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, takribani mwezi mmoja uliopita na walizungumza kwa saa kadhaa. Pezeshkian alisema Khamenei alikuwa katika hali nzuri kabisa kiafya na alikuwa akiendelea kutoa maelekezo kwa uongozi wa Iran. Alisema hayo katika mahojiano na Fox News yaliyorushwa Septemba 24, 2026

Khamenei hajaonekana hadharani tangu kuanza kwa vita, wakati alipomrithi baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran baada ya Ali Khamenei kuuawa.

Soma
IMEKWISHA 💯
 
Attachments

  • All-Vid-Downloader-Facebook-HD-1791220641961.mp4
    11.2 MB
Back
Top Bottom