Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema alikutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, takribani mwezi mmoja uliopita na walizungumza kwa saa kadhaa. Pezeshkian alisema Khamenei alikuwa katika hali nzuri kabisa kiafya na alikuwa akiendelea kutoa maelekezo kwa uongozi wa Iran. Alisema hayo katika mahojiano na Fox News yaliyorushwa Septemba 24, 2026
Khamenei hajaonekana hadharani tangu kuanza kwa vita, wakati alipomrithi baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran baada ya Ali Khamenei kuuawa.
Soma