Hii sasa ni dharau umeonyesha kwa wananchi wa Iran!!! Hivi wewe ni nani mpaka kuwasemea wananchi wa Iran?Huyu raisi wa ovyo Sana, Iran walipata hasara hapa
Aliyetepeta ni Israel baada ya mkong'oto heavy mpaka waisrael wakaanza kuikimbia nchi yao ya ahadiRais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini walishindwa," bila kutoa tarehe maalum ya jaribio la madai. Alidai kuwa Israel, sio Marekani, ndiyo iliyohusika na njama hiyo, akidai walijaribu kulipua mkutano aliokuwa akihudhuria.
Wakati wa mahojiano hayo hayo, Pezeshkian pia alielezea utayari wa Iran kuanza tena mazungumzo ya nyuklia, kulingana na kurejesha imani na Amerika. Dai hili linakuja huku kukiwa na mvutano mkubwa katika eneo hilo. Hii inaonyesha wazi kuwa Iran baada ya kipigo kutoka majeshi ya Israel imeanza kutepeta!! Yajayo Yanafurahisha!!!!
Tetea hojaHuyu raisi wa ovyo Sana, Iran walipata hasara hapa
Upo swahihi! Sasa,ili aone wewe ni mnoma,leta ukijuacho tukipate.wacha uwongo
Anasema ukweli mlipigwaHuyu raisi wa ovyo Sana, Iran walipata hasara hapa
Yeah! Ni marehemu mtarajiwa siku za usoni.Asipoangalia watamuua kweli.
Nenda youtube kaangalie waliyokuwa wanagombea usafiri wa meli kuelekea Cyprus baada ya kipigo cha mbwakokoHebu tuonyeshe wapi walipokimbia au ukisema wewe ndiye wamekimbia??
Walipigwa wapi?Anasema ukweli mlipigwa
Wa hovyo ukimlinganisha na nani ?...Huyu raisi wa ovyo Sana, Iran walipata hasara hapa