Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

Si kweli makubaliano yalikua ni Israel wawaache Hamas washambulie kuuwa na kuteka dada na wake zao ili Israel apate sababu ya kuifuta kabisa Gaza na Hamas.

Hayo ☝️ndio yalikua mawazo ya waisrael wa Kimara Bonyokwa.
 
wasimlaumu netanyah , shambulizi Lili ratibiwa kwa umakini mkubwa . kwanza waliwapumbaza kwa kutokuinyesha dalili zozote kuwa wanajiandaa kufanya shambulio, pili hakuna dalili zikozoonyesha Kuna uingizwaji wa silaha , Hamas walihakikisha kuweka mazingira ya amani na utulivu kwa muda mrefu na huku wakiendelea na plan zao, walivyofanya Hamas ni kuhakikisha mazingira ya amani na utulivu kwa muda mrefu na kuonyesha onyonge wakutosha kwa wa Israel .
 
Kujibizana na mtoto mdogo kama wewe wa 1994 ni kijidhalilisha na kupoteza muda wangu maana huna ulijualo kuhusu huu mzozo.
kwan umri ndo akili ? jitafakari tena mkuu
ingekuwa umri ni akili bas viongoz wetu wangekuwa wametufikisha mbali sana , kuonesha huna akili kuona 94 ya kwenye jina umeipa umri tyr , wee ni kilaza na huez jitambua mpk siku ukilaza ukutoke
 
Si kweli makubaliano yalikua ni Israel wawaache Hamas washambulie kuuwa na kuteka dada na wake zao ili Israel apate sababu ya kuifuta kabisa Gaza na Hamas.

Hayo ☝️ndio yalikua mawazo ya waisrael wa Kimara Bonyokwa.
soma ulichoandika tena halaf jitafakari mkuu , yaana wakubaliane ili mmoja afutwe , duh watz tunazingua sana
 
Raisi Isaac Hezrog wa Israel amethibitisha kuwa nchi hiyo haijawahi kupata kipigo na madhara tangu vita vya Yom Kipur isipokuwa mwaka huu wakati wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

Katika kumfafanua waziri mkuu huyo, Hezrog amesema Netanyahu ameweza kuhimili misukosuko mingi katika kipindi chake cha kisiasa cha miaka 30 lakini safari hii itabidi aondoke kutokana na uzembe mkubwa wa kiusalama uliotokea mwaka huu.

Katika historia yake hiyo amepewa majina mengi kutokana na kuponea kwake chupu chupu kuondoshwa madarakani. Ameitwa king bibi kwa kukaa kwake madarakani kwa muda mrefu. Vile vile ameitwa mwanasiasa mchawi kwa kuweza kupata ushindi wakati dalili zote zikionesha kushindwa.

Hivi karibuni alipewa jina la amani (security). Jina hilo amesema sasa limechanwa chanwa baada ya Hamas kupenya ngome na kuuwa waisrael wengi kuliko kipindi cha kiongozi yeyote nchi hiyo.

Yom Kipur na vita vingine viliuwa watu lakini ilikuwa ni vita vilivyojulikana viko karibu kutokea kutokana na kusoma harakati za adui. Hili shambulio la Hamas halijapata kutokea na wala kufikirika.
Hizi dua za kuku bwana, taabu tupu.
 
Netanyau ,inatosha arudi kwao US miaka 30 inatosha,Obama katika utawala wake akiulizwa kuhusu kiongozi changamoto

Hua hasiti ,anakwambia hakuna mtu mwongo kama netanyau mkizunguzma kitu anaitikia ,kinachoenda kutolea kingine
 
Ngoja waje wayahudi wa Namtumbo, Nansio pamoja na Kongwa
 
Kumbe alizaliwa US
kwanini analeta shida namna hii
 
Back
Top Bottom