Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ameshinda kwa kishindo muhula wake wa nne kufuatia matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu — ushindi uliokuwa umetarajiwa baada ya wapinzani wake wakuu kuondolewa kwenye kinyang’anyiro kwa sababu ya kutokidhi vigezo.
Soma pia UCHAGUZI MKUU IVORY COAST: Ghasia ya Maandamano, ukandamizwaji wa Upinzani na Utawala wa Muda mrefu
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 83, aamepata asilimia 89.77 ya kura, ushindi wake wa tatu mflulizo tangu uchaguzi wa mwaka 2011 uliomwingiza madarakani baada ya ushindani mkali.
Baada ya kutangazwa mshindi, Ouattara ameahidi kutumia muhula huu mpya kuwaandaa viongozi wapya watakaolichukua taifa hilo katika kizazi kijacho, akisisitiza umuhimu wa urithi wa uongozi na uimarishaji wa taasisi za kidemokrasia nchini humo
=========
Ivory Coast President Alassane Ouattara secured a fourth term with a commanding reelection win, according to provisional results announced on Monday, an outcome that was largely expected after his strongest opponents were deemed ineligible
The 83-year-old former international banker won 89.77% of the vote, his third consecutive decisive victory after the much closer election that brought him to power in 2011. He also vowed to use a fourth term to facilitate a passing of the torch to a new generation of political leaders
Source: Reuters