Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ameshinda kwa kishindo muhula wake wa nne kufuatia matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu — ushindi uliokuwa umetarajiwa baada ya wapinzani wake wakuu kuondolewa kwenye kinyang’anyiro kwa sababu ya kutokidhi vigezo.
Soma pia UCHAGUZI MKUU IVORY COAST...
Ivory Coast ilifanya uchaguzi wa urais Oktoba 25,2025, uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu lakini pia kwa hofu kutokana na misukosuko ya kisiasa iliyoikumba nchi hiyo wiki kadhaa kabla ya kupiga kura. Uchaguzi huu ulikuwa wa kumchagua rais wa Jamhuri ya Ivory Coast, nafasi ya juu kabisa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.