Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,954
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)

Mh. Rais SSH hana hizi taarifa

Huu usafiri sio salama

Screenshot_20250905-071834.jpg
 
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)

Mh. Rais SSH hana hizi taarifa

Huu usafiri sio salama

View attachment 3465326
anajua sana tena sana, sema na yeye anayabariki as long as yanam favor yeye
 
Mkiambiwa ujinga na umasikini ni mbaya muwe mnaelewa. Hawa wanaopandishwa kwenye magari ya kubeba mizigo kwenda kwenye mkutano wa kampeni ni masikini na wajinga
 
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)

Mh. Rais SSH hana hizi taarifa

Huu usafiri sio salama

View attachment 3465326
Anajua vizuri kabisa.

Hata yeye kabla hajafika huko ilikuwa wakubwa wakija maeneo yao ya kazi walikuwa wakisomba raia hivyohivyo.
 
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)

Mh. Rais SSH hana hizi taarifa

Huu usafiri sio salama

View attachment 3465326
CCM hata siku moja haizingatii ubinadamu. Kwa CCM binadamu wote si sawa, wao wanatembelea VX yenye viyoyozi, halafu hawa walalahoi wanajazwa kwenye milori kama ng'ombe. Kweli haki hakuna nchi hii. Hao ndiyo wanaandaliwa kuwapigia kura.....Watapewa kofia, T-shirt, na khanga na shs 10,000 kama watabahatika. Sasa kama hao watu wenu mnawajali na mnajua wanawasaidia......Kwanini msiwapandishe kwenye coaster angalau wasibanane na waonje raha ya viyoyozi, wasitoke majasho. CCM jalini wapiga kura wenu.
 
Back
Top Bottom