comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili, dunia inashangilia katokea Tanzania, maana wengine walijifanya wanajua kumbe anaejua yupo na ndio Rais sasa,kuna msemo unasema nabii hakubaliki nyumbani, sasa huo usemi hauna nafasi, jirani na mbali wanamsifia na kutamani style yake ya uongozi.
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa