Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

Ungekuwa mtoto wa kaka yangu au unaishi kwetuu! Leo ningekufumua mnooo maana unaongea ujinga
 
Wana - JF.

Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili,dunia inashangaa katokea Tanzania

Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Mzalendo gani anenunua mapangaboi na kuwaacha wananchi wake wakifa hospitalini kwa kukosa dawa
 
Ni Rais wa karne kwa watu wenye uelewa kama wako ..
 
Wana - JF.

Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili,dunia inashangaa katokea Tanzania

Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Unachosema si kipya kwani hats farao na ubaya wake wote dunia ilikua inamshangaa. Je Hitra dunia si ilishangaa zaidi? Kwa hiyo si ajabu.
 
mtoa mada hayajui haya;nyumba za serikali,mv dsm,lugumi,escrow,fedha za tetemeko,demokrasia,katiba ya wananchi,kujaza makada kwenye udas na uded etc etc etc...tutolee upuuzi wako
Anahusikaje na escrow, lugumi, rada? Nchi hii mnakaririshwa kuanzia darasani hadi mitaani.
 
Kilichowafanya mpokee lowasa ni nn na kumtema dr slaa?

Mlihisi kuwa atautwaa Urais kuliko dr slaa?

Mbowe kashawashika wote nyie chadema hakuna lolote!
kinakuumeni sana eenh, endeleni kula mihogo bila kusahau kushushia na maji baridi mwisho wa siku mtazoea
 
Tumuache Afanye kazi...kama binadamu yapo mengi anayoyafanya kwa ustahi wa Taifa letu na yapo baadhi machache kama kubana democrasia anakosea
 
Back
Top Bottom