Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

Tetesi: Rais wa karne atakuwa Magufuli

Mimi ntamkubali ck katiba ya wananchi ikipita, wahujumu uchumi wa escrow, Eppa na ufilisisa kwa wale wote walotumbuliwa kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha . Hapo ndo ntakubali
 
Mungu ni mkubwa kiukweli
Huyu Rais nichaguo sahihi kwa Watanzania
 
ndio sasa naanza kuona matunda ya ule utafiti Wa kila watu wanne mmojawapo ni chizi....Hapa ukikuta hata watu wawili tu huyu mtoa mada na mwingine basi mtoa mada atakuwa mlengwa
 
Umesema kweli Togo...souz...nigeria wanauliza magufuli ni nani?Togo waliambiwa kufanya usafi wakaita maguguli day....leo amezuia maafisa kwenda kwenye mbio za mwenge na kaagiza pesa walizopewa warejeshe hakuna mzaha huyu jamaa mkombozi wa ukweli kabisaa...
Maguguli ndio nani? Acha kashifa wewe
mamvi ndo nani na kafikaje fikaje kwenye hii nyuzi
 
Anahusikaje na escrow, lugumi, rada? Nchi hii mnakaririshwa kuanzia darasani hadi mitaani.
mental retardation at its finest,naona hujui nguvu ya rais katika hayomaskendo?au unadhani rais wa nchi hii anaishia kuzuia hela ya mwenge tu isilipwe?!!!go back to school.
 
Raisi wetu Mungu ambariki sana! tuseme ukweli ile kambi ya matumaini asingefanya kitu kipya,manake haya ya huyu mkuuu wetu hayapo utaratibu wala nini ila ni utashi binafsi,uzalendo na kujali mali za umma!Tuseme ukweli
 
Umesema kweli Togo...souz...nigeria wanauliza magufuli ni nani?Togo waliambiwa kufanya usafi wakaita maguguli day....leo amezuia maafisa kwenda kwenye mbio za mwenge na kaagiza pesa walizopewa warejeshe hakuna mzaha huyu jamaa mkombozi wa ukweli kabisaa...

wamewapa pesa, alafu wrudishe? kwanini waliwapa? cost ya kuwapa na kurudisha vipi? alikuwa wapi wanavyowapa?

wacha nipande panga boi nije hukohuko
 
Okay. Nyanya siyo dili. Hasara sijawahi kuona. Msimu ujao nahamia kilimo cha mpunga. nyanya siyo dili.
 
Mkuu the World is very fair unapata hewa safi bure, mazingira na mandhari mazuri bure, lakini peoples are not fair at all, sasa wale waliokua sio fair ndio wananyukwa ili wawe fair na dunia iwe mahali salama zaidi
Asanteee umemjibu vuzuri
 
mental retardation at its finest,naona hujui nguvu ya rais katika hayomaskendo?au unadhani rais wa nchi hii anaishia kuzuia hela ya mwenge tu isilipwe?!!!go back to school.
You should go back to class man, or else utakuwa kati ya wale 450K. Unajua hayo ma kashfa yalianza lini, ili useme raisi ayazuie?
 
Leo nimetembelea jiji la Dar es Salaam, na nimebahatika kupata usafiri wa Daladala kutoka Kongowe nikashuka Tandika baadaye nimetoka Tandika na kuelekea Gongo la Mboto. Kwenye Daladala zote mbili nimefuatilia kwa makini maongezi ya watanzania waliokuwa wengi kwenye usafiri huo wakizungumzia utawala wa sasa wa awamu ya Tano ya serikali. Kutokana na maongezi yale nimegundua Wizara ya Habari na michezo kupitia vitengo vyake habari haifanyi kazi sawa sawa kuwaelimisha watanzania juu ya kazi zinazofanywa na serikali. Watu wanalaumu tu. ...serikali lakini malalamiko yao ni kuwa hawapati taarifa na takwimu sahihi za malengo na mipango ya miradi mingi inayotekelezwa na serikali kuanzi issue ya madawati mpaka miradi mingine mikubwa kwa midogo. Suluhisho. Wizara hii itumie kila aina ya chombo cha habari nchini na mitandao ya kinamii na makampuni ya simu kuwapa taarifa na takwimu sahihi za shughuli za serikali na malengo yake kwa wananchi. Pia iongeze wigo wa kukusanya maoni na maswali juu ya utendaji wa serikali yanayolenga kuboresha utendaji wa serikali unaolenga Tanzania iwe nchi ya viwanda na wananchi wote waweze kujitengemea kwa ufanisi kiuchumi na kijamii. Yangu ni hayo.
 
Back
Top Bottom