Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahahahaha kwa zile dolari zote kwenye sandarusi wameishia biskuti za 50 na maji ya baresa shkamoo ccmMkuu bukoba sasa hivi eti wanapewa msaada wa biskut na maji. Kwani walikumbwa na tetemeko la njaa? Mtu alale kwenye pakti ya biskut au. Hebu tutolee hiyo