comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Watu wlifunga na kuomba MUNGU kawajibuWana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili,dunia inashangaa katokea Tanzania
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Haruhusu katiba ya walioba ndio tutajua wa karne
Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili,dunia inashangaa katokea Tanzania
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Mwambie mamvi aikubali kwanza na akikubali atuambie kwanini alkua anaipinga mwanzo...Haruhusu katiba ya walioba ndio tutajua wa karne
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hebu toa uchafu wako hapa
Umesema kweli Togo...souz...nigeria wanauliza magufuli ni nani?Togo waliambiwa kufanya usafi wakaita maguguli day....leo amezuia maafisa kwenda kwenye mbio za mwenge na kaagiza pesa walizopewa warejeshe hakuna mzaha huyu jamaa mkombozi wa ukweli kabisaa...Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili,dunia inashangaa katokea Tanzania
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
mamvi ndo nani na kafikaje fikaje kwenye hii nyuziMwambie mamvi aikubali kwanza na akikubali atuambie kwanini alkua anaipinga mwanzo...