ndo maana nakwambia we bado,nani kasema hayarudie!!!!watumishi hewa walipokuwa wanatengenezwa alikuwepo?You should go back to class man, or else utakuwa kati ya wale 450K. Unajua hayo ma kashfa yalianza lini, ili useme raisi ayazuie?
Kwani watumishi, wanafunzi na mikopo hewa ilikuwa contract-based? Unaweza kuingilia mikataba kama IPTL na kuivunja kichwa kichwa? Go back to class.ndo maana nakwambia we bado,nani kasema hayarudie!!!!watumishi hewa walipokuwa wanatengenezwa alikuwepo?
mbona rais wako kipenzi anaongelea kuvunja mikataba ya madiini?Kwani watumishi, wanafunzi na mikopo hewa ilikuwa contract-based? Unaweza kuingilia mikataba kama IPTL na kuivunja kichwa kichwa? Go back to class.
Haruhusu katiba ya walioba ndio tutajua wa karne[/QUOTE
Kweli we kenge hata kuandika hujui
Haruhusu katiba ya walioba ndio tutajua wa karne
Mungu akiwa upande wetuWana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili, dunia inashangilia katokea Tanzania, maana wengine walijifanya wanajua kumbe anaejua yupo na ndio Rais sasa,kuna msemo unasema nabii hakubaliki nyumbani, sasa huo usemi hauna nafasi, jirani na mbali wanamsifia na kutamani style yake ya uongozi.
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
hii karne imeanza lini? na inaisha lini? karne ni miaka mingapi?Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili, dunia inashangilia katokea Tanzania, maana wengine walijifanya wanajua kumbe anaejua yupo na ndio Rais sasa,kuna msemo unasema nabii hakubaliki nyumbani, sasa huo usemi hauna nafasi, jirani na mbali wanamsifia na kutamani style yake ya uongozi.
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Tatizo la Watanzania tunakuwa MOVED na vitu vidodgo vidogo sana!!Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio wake wenye msimamo wa kunyoosha njia, kuondoa unyanyasiji, kuweka uwajibikaji, heshima,nidhamu ya matumizi ya fedha na maadili, dunia inashangilia katokea Tanzania, maana wengine walijifanya wanajua kumbe anaejua yupo na ndio Rais sasa,kuna msemo unasema nabii hakubaliki nyumbani, sasa huo usemi hauna nafasi, jirani na mbali wanamsifia na kutamani style yake ya uongozi.
Ninawasilisha kutoka halmashauri ya kichwa
Hivi ulitegemea nini kama jina lako? Serikali hiyo hiyo haitaki wananchi wasikilize kinachoendelea bungeni, serikali hiyo hiyo inapiga vita magazeti yasiwafikie wananchi, serikali hiyo hiyo hiyo haitaki ikosolewe, serikali hiyo hiyo haitaki demokrasia ishamiri, serikali hiyo hiyo imepiga marufuku mikutano ya kisiasa (isipokuwa ya Lipumba), serikali hiyo hiyo inafungia vituo vya redio...ukipanda nyanya utavuna nyanya na si korosho.Leo nimetembelea jiji la Dar es Salaam, na nimebahatika kupata usafiri wa Daladala kutoka Kongowe nikashuka Tandika baadaye nimetoka Tandika na kuelekea Gongo la Mboto. Kwenye Daladala zote mbili nimefuatilia kwa makini maongezi ya watanzania waliokuwa wengi kwenye usafiri huo wakizungumzia utawala wa sasa wa awamu ya Tano ya serikali. Kutokana na maongezi yale nimegundua Wizara ya Habari na michezo kupitia vitengo vyake habari haifanyi kazi sawa sawa kuwaelimisha watanzania juu ya kazi zinazofanywa na serikali. Watu wanalaumu tu. ...serikali lakini malalamiko yao ni kuwa hawapati taarifa na takwimu sahihi za malengo na mipango ya miradi mingi inayotekelezwa na serikali kuanzi issue ya madawati mpaka miradi mingine mikubwa kwa midogo. Suluhisho. Wizara hii itumie kila aina ya chombo cha habari nchini na mitandao ya kinamii na makampuni ya simu kuwapa taarifa na takwimu sahihi za shughuli za serikali na malengo yake kwa wananchi. Pia iongeze wigo wa kukusanya maoni na maswali juu ya utendaji wa serikali yanayolenga kuboresha utendaji wa serikali unaolenga Tanzania iwe nchi ya viwanda na wananchi wote waweze kujitengemea kwa ufanisi kiuchumi na kijamii. Yangu ni hayo.
Marehemu Idi Amin Dada alipendwa sehemu nyingi duniani, walifuatilia sana aliyoyafanya nchini Uganda, mojawapo ikiwa ni operation mafuta mingi!Nina marafiki wa nchi za nje esp wa Africa wanampenda sana sana Magufuli, yaani wanafatilia anayofanya kupita hata mie nilie hapa nchini.
Putin (Rais wa Russia), aliwezaje ku'ingia' mikataba upya tena mikataba ya mafuta ikiwemo BP na Russia ikapata gawiwo linaloeleweka.?Kwani watumishi, wanafunzi na mikopo hewa ilikuwa contract-based? Unaweza kuingilia mikataba kama IPTL na kuivunja kichwa kichwa? Go back to class.
Wana - JF.