Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika.

Hersi aliendelea kusisitiza, “ikumbukwe Al Ahly ndio timu yenye uwekezaji mkubwa sana tena inapofika hatua za mtoano katika michuano hii, huku Mamelodi wakiwa ni mabingwa AFL na sidhani itakuwa rahisi kwao kuishia robo au nusu fainali.

Maneno ya Rais wa Yanga, Eng. Hersi Ally Said kupitia mahojiano na Televisheni ya Al Ahly. #EastAfricaTV
we mbumbumbu huyo jamaa ndye aliyewaambia nyie vilaza malengo ya Yanga ni makundi,soma ubao unasemaji???

watoto wa mjini hao kuwaelewa unatakiwa uwe genius,KOLO ZUBAA UZIKWE HUKU UNATAZAMA
 
Unajua makolo walivyoaminishwa wanaamini ni kweli kabisa level zao ni al ahly na sundown,pa1 na mafanikio ya uwanjani ya vilabu vyetu bado tuna mengi ya kujifunza kwa kwa miamba kama al ahly
Hahahahahaha Hersi kajibu uhalisia ulivyo hajataka kujidanganya au kuwadanganya watu ...

Binafsi nimefika Misri miaka ya nyuma nimeona uwekezaji wao aly ahly ..sisi bado sana tena sana tusijidanganye kabisa
 
Siku zote ukiongea public mpinzani wako msifie ili aendelee kuwa katika comfort zone madhaifu yake unaenda kumuonyesha uwanjani.

Yanga wanafahamu Ahly ni timu kubwa ila Wana udhaifu kama Timu, wanachokwenda kufanya ni kwenda ku expose udhaifu wa Ahly.
 
Unakumbuka tambo za Ahmed Ally mapinduzi? Wengi walimwangushia jumba bovu kwamba yeye ndio kawaponza wakafungwa na Mlandege.

Maneno na tambo kabla ya mechi ni kuvichagua kwa umakini sana, unaweza kupigwa ukadhalilika.
Nakumbuka vyema kabisa, hii mbinu inatumiwa sana na timu nyingi na uongozi unajua.
Kwa akili ya kawaida hakuna anaependa kuwa mshiriki lengo huwa ni ubingwa ila ikitokea kuukosa inaeleweka, na ndio mpira ulivyo.
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Hahaaa....vijana WA 2000's Wana shida sana kichwani
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Hiyo Mbumbumbu umeijibu vyema kabisa. Napeleka nakala ya majibu yako kwa Aden Rage.
 
Nakumbuka vyema kabisa, hii mbinu inatumiwa sana na timu nyingi na uongozi unajua.
Kwa akili ya kawaida hakuna anaependa kuwa mshiriki lengo huwa ni ubingwa ila ikitokea kuukosa inaeleweka, na ndio mpira ulivyo.
Sasa hawa mbumbumbu watajulia wapi hilo? I guess huwa hawaangalii interviews za makocha wakubwa akina Pep, Mourinho n.k kabla ya mechi.

Hata kama timu ni ndogo kiasi gani wanaongea kwa kuwaheshimu na kuwapa nafasi.
 
Wengi wakishamaliza dakika 90 wanaishia hapo kwahiyo mambo kama haya ya kabla na baada ya mechi hawawezi kuyajua.
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Una akili sana bidada mibumbumbu ingekua ndio imepewa nafasi ya kuongea aibu ungeona wewe..
Haya mambo huwa yanafanywa na akili kubwa tu..
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Hii mbinu ya Gurdiola, huwa ana mpamba mpinzani wake lkn uwanjani ana mpasua hilivyo
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Kanywe Savanah 5 kwa mangi, nitapitisha hela baadae
 
Kufika robo fainali ya Champions League sio mchezo kuna mmoja alizimia.Huu ugonjwa wa kuzimia mbona upo sana?
 
Ameamua kutokuwa na matumaini hewa, jambo ambalo ni jema, anamatumaini ya kufika hatua fulani lakini sio fainali. Tanzania hakuna timu ya kufika hatua ya Fainali katika michuano ya CAF.
 
Back
Top Bottom