Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

jf imekua na watu wenye akili ndogo sana kila mtu anakimbilia kuandika uzi bila kufikiri....
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
You said it all.
 
Umewahi kusoma Fasihi mkuu

Hivi mlienda shule kusomea kitu gani?

Lugha aliyoongea Bwana Hersi inafundishwa darasa la sita na darasa la saba

Usipende kuchukulia kila jambo kama lilivyo inabidi uchanganye na akili zako binafsi

Kwa hiyo Ali Kamwe akisema watu waje uwanjani bila kuvaa nguo yaani uchi wa mnyama wewe utaenda bila kuvaa nguo?

Hiyo ni fasihi mkuu,Rudi tena shule ya msingi
Ajue wapi fasihi huyo?
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Astaghafirurah!!!
National Al Ahly wachezewe "mind game" na Hersi!!???
Kweli bado naendelea kuyaona hata baada ya kukua na kuzeeka.
 
Back
Top Bottom