Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kiongozi anayetawala bila kuchaguliwa na raia ndiyo hupachikwa hiko cheo (dictator).Si dictator banaa, west wanampaka matope sana kutokana na misimamo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usiri unasababisha na yale waliyoyachuma kutoka kwenye nchi zao..!Jana walidai ameshafariki kumbe bado mahututi ?!.
Tatizo la nchi za ki communist usiri mwingi sana !!.
Odhis *
Huu mchezo hauhitaji hasira chief[emoji23]We mbwa sana, sasa chadema kaingiaje hapa, au ni dalili kwa yule alolikimbia taifa kipindi hiki cha korona na kwenda kujoificha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Sio yote haya ni CCM ndio imetufikisha mkuu
Typed Using KIDOLE
Vitu vilivyomponza ni Cuba Cigar na Italian Pizza. Haya madube alikuwa anagonga sanaMwenyewe nimetoka kuona hii kwenye page za udaku.
Sema Mjuba alikuwa mgonjwa sana. May be true.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto mdogo huyo anayechunguzwa afya asubuhi na jioni kama mgonjwa wa Corona anapataje "Cardiovascular Case".Pale mwana usalama from kwa mtogole anapoweza kukosoa ulinzi wa rais wa nchi nyingine tena yenye ma-nuclear?
Daah kweli bongo kila mtu ni mwana usalama.
No one on earth is clever in all aspects.And you think he was stupid....!!?
Kadikteta namba moja ulimwenguni nikale kabibi pale UKSi dictator banaa, west wanampaka matope sana kutokana na misimamo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Malkia wa UK ni Dikteta ama hapana ?!Kiongozi anayetawala bila kuchaguliwa na raia ndiyo hupachikwa hiko cheo (dictator).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadikteta namba moja ulimwenguni nikale kabibi pale UK
Sent using My COVID-19
Ushamuona wapi anaingia kufanya maamuzi ya utendaji wa serikali kwa kila siku.Kadikteta namba moja ulimwenguni nikale kabibi pale UK
Sent using My COVID-19
Jf kuna wapiga ramli sijapata kuona. Mkuu hapa unaongea kama mtaalamu wa mambo ya afya au wale tunaojikuta tunajua mambo mengi kupitia misheni town?Mtoto mdogo huyo anayechunguzwa afya asubuhi na jioni kama mgonjwa wa Corona anapataje "Cardiovascular Case".
Huyo hata akichomoka kwenye hilo tundu la sindano lkn he definitely won't remain the same.
He will be under strict advice to abdicate the throne so as battle with the second phase of his ailment possibly throughout his life.
To lock horns with a super power isn't a bed of roses for great decisions always require great sacrifices.