Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Wananchi wa North Korea akili zao ni sawa na waafrica hatuchekani.Viongozi wao wanatawala maiti ( watu waliokufa akili,yaani watu mamilioni kuburuzwa na mtu mmoja tu)
 
Alinifariji sana kumjibu Mmarekani bila woga. R.I.P My favourite president
Your favourite President siyo Magufuli Musukuma mwenzako ambaye hata uteuzi atakupa? Polepole mnaanza kumtupa Rais wenu mpendwa kama jongoo na mti wake! Bahati mbaya yeye bado hajatambua hilo.
 
Kila mtu na mtazamo wake Ndio maana ukiwa shabiki wa Yanga hufungwi kuwa shabiki wa Barcelona.
 
Kama kafa, it's not a big deal, kawauwa wengi sana na yeye. Huyu jamaa alikuwa bogus sana, sasa alipotegeshwa kwenda kwenye mkutano Singapore yeye kwa ujinga wake alifikiri nchi kubwa kama Marekani kweli walikuwa wanataka wafanye naye deal....!!!

Marekani sio nchi ya kuchezea akifika huko awaulize akina Chavez, Saddam, Gaddafi, Norriega, Gen Suleiman nk watamuadisia.
 
Kwa maana hio ata ww ukifa umeuwawa na marekani?
Kama kafa, it's not a big deal, kawauwa wengi sana na yeye. Huyu jamaa alikuwa bogus sana, sasa alipotegeshwa kwenda kwenye mkutano Singapore yeye kwa ujinga wake alifikiri nchi kubwa kama Marekani kweli walikuwa wanataka wafanye naye deal....!!!

Marekani sio nchi ya kuchezea akifika huko awaulize akina Chavez, Saddam, Gaddafi, Norriega, Gen Suleiman nk watamuadisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom