NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
kwanza umeelewa kuhusu nguvu?Msimamo bila akili ni bure
kama umeelewa nambie ili twende sasa kwenye hilo somo lako jipya "msimamo bila akili"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza umeelewa kuhusu nguvu?Msimamo bila akili ni bure
hahhahaaMods hizi nyuzi nyingine ni za kutugombanisha na kim tu.
Hachelewi kurusha makombora yakafika hapo ofisini kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Your favourite President siyo Magufuli Musukuma mwenzako ambaye hata uteuzi atakupa? Polepole mnaanza kumtupa Rais wenu mpendwa kama jongoo na mti wake! Bahati mbaya yeye bado hajatambua hilo.Alinifariji sana kumjibu Mmarekani bila woga. R.I.P My favourite president
Ha ha ha ha ha ... kibaya zaidi habari zenyewe za KUJIFUKIZA kutokea IKULU ndogo ya NYUMBANIIIIIBila source ni sawa na habar za KUFUKIZA.
Ndugu acha tu bora Kim awe mzma maana huyo anaekuja ni demu unaambia huyo ni shida Mara Mia ya kim and she is evil very evilKuna tetesi kuwa huenda rais wa korea kaskazini hatunae tena ,hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo.
Kama itakuwa ni kweli basi dunia itakuwa imempoteza mtu muhimu sanaView attachment 1430835
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na mtazamo wake Ndio maana ukiwa shabiki wa Yanga hufungwi kuwa shabiki wa Barcelona.Your favourite President siyo Magufuli Musukuma mwenzako ambaye hata uteuzi atakupa? Polepole mnaanza kumtupa Rais wenu mpendwa kama jongoo na mti wake! Bahati mbaya yeye bado hajatambua hilo.
Kivipi tenaIla dah, hii avatar yako bro, inachekesha sana.
Moods bado wameachia huu Uzi ambao hauelewekiRais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Fake newsRais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Madikteta, wababe wa kivita,wakuu wa ugaidiNani hana faida ?
Leta reliable source ya kuprove unachoongeaSio kweli, mda mfupi uliopita alikua na meeting na wakuu wa wafanyakazi wake wa treni yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ... kibaya zaidi habari zenyewe za KUJIFUKIZA kutokea IKULU ndogo ya NYUMBANIIIII
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kafa, it's not a big deal, kawauwa wengi sana na yeye. Huyu jamaa alikuwa bogus sana, sasa alipotegeshwa kwenda kwenye mkutano Singapore yeye kwa ujinga wake alifikiri nchi kubwa kama Marekani kweli walikuwa wanataka wafanye naye deal....!!!
Marekani sio nchi ya kuchezea akifika huko awaulize akina Chavez, Saddam, Gaddafi, Norriega, Gen Suleiman nk watamuadisia.
Marekani wana shida gani na mimi wakati mimi sio gaidi.