Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Dikteta yeyeto akifariki sisi twala wali.Goma Congo kulikuwa na nderemo mtaani
 
Rais wa North Korea ametutoka duniani. Huu msiba mzito sana duniani.
Hamna ushahidi bado... Lkn kwani aliifanyia nini dunia mpaka akifa uwe msiba mzito duniani?? Kuondoka kwake pengine kutafungua milango ya demokrasia na Uhuru N. korea!!
 
Inasemekana labda dada yake angalau kidogo wanawake huwa si madikteta.Wawaingizie demokrasia ili ifungue akili zao wasiwe kisiwa.Mrusi sijui nani atakuwa akimsaidia,mchina anawaza pesa siasa za Vita alishaacha.
Haya madikteta yakipungua angalau Africa nayo itapumua ndiyo mafadhili makuu ya madikteta ya Africa.Bora corona iyatandike yarudi kuzimu kumsaidia baba yao kuchochea Moto huku duniani sio kwao

yah wale raia wanaishi kisiwani kwao hawako duniani kabisa..
 
Sasa na ubabe wake wote huo ameshindwa zuia kifo Sasa walinzi na makombora ya nini Sasa.Bwana asipoulinda mji wakeshao ulinda bure.Maisha ya dunia si zaidi ya kula na kunywa mengine ni kuukimbiza upepo tu.
Unakuwa mbabe halafu unashindwa zuia kifo au ugonjwa hii nini Sasa.Madikteta yote huwa yana heart attack sababu ya kujaza sumu mioyoni mwao ( chuki,visasi,roho mbaya, uoga,ukatili, ubinafsi,hofu,wasiwasi ,kutokujiamini,akili zao kushikwa na waganga) hofu juu ya malipizi ya mabaya waliyowatendea wenzao.
 
Bila CNN au BBC kutangaza hii habari itabakia kuwa uzushi!
Na hao CNN muda si mrefu walikuwa 'wakipiga ramli' juu ya alipo kiongozi hiyo kwa wiki mbili.
US Insiders walidai kuwa amewanyiwa upasuaji was moyo.
 
Haijathibitishwa
IMG_20200426_123234.jpg
 
Dunia ni akili sio nguvu,we unajimwambafy wenzio wanakulia time tu
wa kukurupuka.
wapi nimeandika neno nguvu?
mm nimesema misimamo sio nguvu,soma uelewe

haya sawa ngoja nikujibu hoja yako kuhusu nguvu kama ifutavyo.US ni nchi yenye"NGUVU"za kiuchumi na "NGUVU" za kijeshi.
akili ina nafasi yake pia na nguvu ina nafasi yake pia vyote vina umuhimu.
akili & nguvu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa kukurupuka.
wapi nimeandika neno nguvu?
mm nimesema misimamo sio nguvu,soma uelewe

haya sawa ngoja nikujibu hoja yako kuhusu nguvu kama ifutavyo.US ni nchi yenye"NGUVU"za kiuchumi na "NGUVU" za kijeshi.
akili ina nafasi yake pia na nguvu ina nafasi yake pia vyote vina umuhimu.
akili & nguvu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo bila akili ni bure
 
Back
Top Bottom