Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

dah ila poa tu R.I.P kiduku.ila atakuja mtata mwingine zaidi yako kuendeleza ile misimamo kama yako dogo kiduku

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo dadaake inasemekana atachukua mikoba tena yeye inasemekana ni balaa zaidi
IMG_20200426_114551.jpg
 
5 yrs back alidungwa heart attack kupitia mbu drones aliyepandikizwa.Wakuu wa dunia awatumii tena njia ya Vita kuwaondoa watu wasumbufu wasio na faida duniani ( madikteta,wababe wa kivita, viongozi wa magaidi, wajamaa) ni mwendo wa drones,virus,wanaepusha gharama za kuendesha Vita,kuuwa Askari wao, kuharibu nchi,na kuuwa watu wasio na hatia only the targeted tu.Njia ya Vita imesababisha kupoteza Askari wao, kutumia fedha nyingi kugharamia Vita Hali return ni ndogo, kuzalisha mfumuko wa wakimbizi duniani, gharama za kuijenga nchi.Awachomi msitu kumsaka nyoka wanaponda kichwa tu.Faida ya kuponda nyoka kichwa wananchi wanakuwa na chance ya kuchagua mwingine nchi haiwezi simama sababu ya mbwa mmoja kufa.
Unatunga habari zako
unadhani hao jamaa ni wajinga
 
Kagame yupo ICU kwa corona naye inawezekana ugonjwa umekuja kuondoka na madicteta.
Juzi Goma Congo walikuwa wakisherekea kifo chake maana Congo itatulia Sasa,msemaji wake anasema yupo hai yupo ziarani ulaya
 
Dogo anawachora tu ....
ame keep low profile ana monitor response
infact hata yy anataka kujua uwezo wa taifa lake watu wake wa karibu na uwezo wao wa kutunza siri dhidi ya mataifa ya magharibi.....
 
Kama Bado Apone Haraka Sana Alijenge Taifa Lake
Ikiwa Kaitwa Akaitika Basi Alazwe Anapostahiri
 
Back
Top Bottom