Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Alinifariji sana kumjibu Mmarekani bila woga. R.I.P My favourite president
Duniani ni mapito. Tenda wema na uheshimu uhai kila mtu. Uhai wa mwenzako yeyote una thamani sawa na wako au mwanao au mama au baba yako. Huyu alimwua mjomba wake. Kwenye utawala wake, kila aliyeenda kinyume nae, adhabu yake ilikuwa kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnazua uongo? Hajafa Jana nimeona kawaambia wakorea waondoe wasiwasi kuhusu usalama wao!!!!!
 
Alikula sumu kama ile ya Mangula nini?
5 yrs back alidungwa heart attack kupitia mbu drones aliyepandikizwa.Wakuu wa dunia awatumii tena njia ya Vita kuwaondoa watu wasumbufu wasio na faida duniani ( madikteta,wababe wa kivita, viongozi wa magaidi, wajamaa) ni mwendo wa drones,virus,wanaepusha gharama za kuendesha Vita,kuuwa Askari wao, kuharibu nchi,na kuuwa watu wasio na hatia only the targeted tu.Njia ya Vita imesababisha kupoteza Askari wao, kutumia fedha nyingi kugharamia Vita Hali return ni ndogo, kuzalisha mfumuko wa wakimbizi duniani, gharama za kuijenga nchi.Awachomi msitu kumsaka nyoka wanaponda kichwa tu.Faida ya kuponda nyoka kichwa wananchi wanakuwa na chance ya kuchagua mwingine nchi haiwezi simama sababu ya mbwa mmoja kufa.
 
Nachofurahia corona ni ugonjwa usiokuwa na matabaka. Oom mimi nchini kwangu hakuna korona. Ona sasa kawa first case ya korona nchini kwake na imemuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanazidi tu kutiririka hapa utadhani wamepata uhakika wa kifo cha Kim
 
Back
Top Bottom