Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Pale mwana usalama from kwa mtogole anapoweza kukosoa ulinzi wa rais wa nchi nyingine tena yenye ma-nuclear?

Daah kweli bongo kila mtu ni mwana usalama.
Mtoto mdogo huyo anayechunguzwa afya asubuhi na jioni kama mgonjwa wa Corona anapataje "Cardiovascular Case".

Huyo hata akichomoka kwenye hilo tundu la sindano lkn he definitely won't remain the same.

He will be under strict advice to abdicate the throne so as battle with the second phase of his ailment possibly throughout his life.

To lock horns with a super power isn't a bed of roses for great decisions always require great sacrifices.
 
Kim anawachek tu mnavyohangaika na maisha yake....mbn yy hana muda na mishe zenu! so sad
IMG_20200427_113454.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadikteta namba moja ulimwenguni nikale kabibi pale UK

Sent using My COVID-19
Ushamuona wapi anaingia kufanya maamuzi ya utendaji wa serikali kwa kila siku.

Hebu rudia kujifunza tena maana ya udikteta.

Sent using iphone pro max
 
Mtoto mdogo huyo anayechunguzwa afya asubuhi na jioni kama mgonjwa wa Corona anapataje "Cardiovascular Case".

Huyo hata akichomoka kwenye hilo tundu la sindano lkn he definitely won't remain the same.

He will be under strict advice to abdicate the throne so as battle with the second phase of his ailment possibly throughout his life.

To lock horns with a super power isn't a bed of roses for great decisions always require great sacrifices.
Jf kuna wapiga ramli sijapata kuona. Mkuu hapa unaongea kama mtaalamu wa mambo ya afya au wale tunaojikuta tunajua mambo mengi kupitia misheni town?
 
Back
Top Bottom