Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mwakyembe anasema ngome kuu ya ushoga ni Arusha:
View: https://youtu.be/3hxJgpJC8Y4?si=YEYUAR5vN2sK028W
Na Mwamposa kawaambiaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakyembe anasema ngome kuu ya ushoga ni Arusha:
View: https://youtu.be/3hxJgpJC8Y4?si=YEYUAR5vN2sK028W
ila anajivunia mizimu yao ya ujaluoni,,,,,kama huyo tu kazaliwa huko ila ukiingia mitamboni ni wa bara......Naam, kama Marekani tu, ukizaliwa Marekani ni Mmarekani.
Hujamuona Obama?
kwani wewe uliupataje Utanzania wako?
Wote hao ni jamii ya kijaluo, hata wazanaki. Sishangai.
Siyo kweli. Mama Samia wazazi wake wana asili ya Oman, ndiyo maana wajomba zake ni DP World
Ndo hivo kwa jamii zetu mtoto asili kwa baba, ndo maana waarabu wapemba wanajiona ni wa oman badala ya wazenji sababu ya baba na babu zao, kwahio Mwinyi nae ni mbara hata kama alizaliwa zenji, uzuri hajavuka mipaka kazaliwa ndani ya koloniWote hao ni jamii ya kijaluo, hata wazanaki. Sishangai.
Hizo ni miradi ya Magufuli.Mama hajafanya kitu.SGR umepanda?
Umeme wa Steigler unautumia?
Umemaliza sekondari au unasoma shule za mama samia?
Wakati wewe ukimuomba Rais Samia kubadili katiba ili kuuvunja huu muungano wetu adhimu kwa kila upande kushika lwake na tugawane fito, huyu ni muumini wa muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza, nasi tunamshauri, abadili katiba, twende kwenye serikali moja Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Hapana, usicheze na maneno na usitie maneno yako kinywani mwangu. Hakuna sabau ya kuuvunja muungano. Tuwape wengi, wengi wanataka kila nchi iwe na serikali yake na kuwe na serikali skeleton ya Muungano. Simpo.Wakati wewe ukimuomba Rais Samia kubadili katiba ili kuuvunja huu muungano wetu adhimu kwa kila upande kushika lwake na tugawane fito, huyu ni muumini wa muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza, nasi tunamshauri, abadili katiba, twende kwenye serikali moja Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
P
Hayo ni maneno ya chuki na kukosa heshima tu.
Hapana, mimi siyo mwenyeji wa Zanzibar. Mimi kwetu Tanganyika...wewe si mwenyeji wa Znz? maana huko mnajuana kwa ukaribu.
..je, unathibitisha kwamba mshika usukani sio msagaji?
..je, unabisha kwamba ushoga ulikuwa umeota mizizi Zanzibar kabla ya huku Tanganyika?
Hapana, mimi siyo mwenyeji wa Zanzibar. Mimi kwetu Tanganyika.
Hapana.
Mwakyembe kafanya utafiti, umeiona clip yake hapo juu?..mimi mashoga wa kwanza kuwaona huku Tanganyika walikuwa Wazanzibari.
..Na kulikuwa na habari nyingi kwamba ushoga ni tatizo huko Zanzibar.
..Je, kwa uelewa wako na ktk kuchangamana kwako na Wazanzibari unathibitisha kwamba hakuna ushoga Zanzibar?
Mwakyembe kafanya utafiti, umeiona clip yake hapo juu?