Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun):

Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi

IMG_4498.jpeg
 
Huyo ni mwenzenu pamoja na Abbas wa west bank kila la kheri
 
Huyo ni mwenzenu pamoja na Abbas wa west bank kila la kheri
Huyo ni Rais wa nchi wewe unamuonaje mwehu? Au kwa sababu kafanya maamuzi tofauti na wewe?
 
Back
Top Bottom