Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Oct 17, 2025 #1 Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
gTurn JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 4,557 Reaction score 7,302 Oct 17, 2025 #2 Huyo ni mwenzenu pamoja na Abbas wa west bank kila la kheri
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Oct 17, 2025 #3 Sawa
Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Oct 17, 2025 Thread starter #4 gTurn said: Huyo ni mwenzenu pamoja na Abbas wa west bank kila la kheri Click to expand... Huyo ni Rais wa nchi wewe unamuonaje mwehu? Au kwa sababu kafanya maamuzi tofauti na wewe?
gTurn said: Huyo ni mwenzenu pamoja na Abbas wa west bank kila la kheri Click to expand... Huyo ni Rais wa nchi wewe unamuonaje mwehu? Au kwa sababu kafanya maamuzi tofauti na wewe?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 19, 2025 #5 Kila la kheri zao... Cc: Mahondaw