Rais wa Malawi ameagiza kuwa msafara wake usizidi magari 10 na serikali isinunue magari mapya kwa ajili yake

Aiweke kwenye maandishi ya kikatiba ili atakayekuja kumfuata ayafuate hayo hayo maono yake.
 
Sasa kwanini Dr Mwigulu hakuturuhusu Tuhamie Malawi?
 
Uchaguzi umekaribia?
 
Ndiyo maana hata mimi nimeuliza hapo kuna uchaguzi? Mzee mpumbavu huyu anataka kuchoka akili za watu!
 
Vp kule MALAWI ili mtu awe Mbunge sifa zake ni kama za Babu tale?
 
Kuwachota akili waafrica kazi rahisi sana.
 
African politicians wanacheza na akili za wananchi,last year nilikuwa Malawi,msafara wake ulipita sehemu fulani pale Lilongwe,mambo ni yale yale tu.Labda kama anaanza kuchekecha chekecha akili za wamalawi maana kipindi chake kinakaribia kuisha.
 
Duuh
 
A great man doesn't seek to lead. He's called to it, and he answers. Mfano Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Ukiona mtu anataka uongozi kwa nguvu basi jua hawatakii mema. Inasikitisha kwa hatua tuliyofikia kama Taifa.
 
Tumia macho na umakini don't judge blindly kama hao viongozi unaowasema. Ironically, unafit hiyo description yako perfectly. Hiyo post ni ya 2020, angalia hiyo tarehe. Smh.
 
Ndiyo maana hata mimi nimeuliza hapo kuna uchaguzi? Mzee mpumbavu huyu anataka kuchoka akili za watu!
Chakwera ni fisadi mkubwa sana nchini Malawi. Alipogundua kwamba makamu wake ambae anatoka chama kingine atakuja kumng'oa katika uchaguzi huu kwa kuvujisha siri ya ufisadi wake, basi jamaa akamuundia makamu wake mazingira mazuri ya kummaliza.

Akampa safari ya kutembelea mahali fulan kwa kutumia ndege ya jeshi. Makamu alivyopanda ndege ikatoweka. Ilipokuja kuonekana baada ya siku 2 au 3, tayari makamu alikuwa ameshafariki na mchezo ukaishia hapo. Amekula bata toka 2020, sasa anajifanya mwema kwa sababu uchaguzi mkuu bado miez mi3 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…